sw_tn/jdg/18/13.md

8 lines
226 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Laisha
Hili ni jina la mji.
# Je, mnajua kwamba katika nyumba hizi kuna efodi ... sanamu za chuma? Amua utakachofanya.
Watu watano waliuliza hili swali kama njia ya kupendekeza na kuwahimiza wenzao ili waibe zile sanamu.