sw_tn/jdg/16/08.md

20 lines
447 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ambazo hazijakauka
"ambazo hazijawa kavu"
# akamfunga Samsoni
"Delila akamfunga Samsoni na kamba safi"
# Sasa
Mwandishi anatueleza simulizi kuhusu Wafilisti na Delila wanavyosubiri kumkamata Samsoni.
# Wafilisti wako juu yako
"Wafilisti wako hapa ili kukukamata"
# akazikata kamba kama uzi wakati unapogusa moto
Mwandishi anaelezea ni kwa jinsi gani ilikuwa rahisi kwa Samsoni kuzikata kamba kama vile zinavyokatika zikiwa katika moto.