sw_tn/jdg/15/19.md

28 lines
475 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akapafungua mahali pa shimo
"akapafungua mahali pa shimo" Hii ni sehemu ya chini ambayo Bwana alisababisha maji ya chemchemi yatoke.
# Lehi
Hili ni jina la mji uliopo Yuda.
# nguvu zake zikarejea na akahuishwa
"akapata nguvu tena" au "nguvu zake zikarejea"
# Enhakore
Hili ni jina la chemchemi.
# ni huko Lehi hadi leo
"chemchemi ipo mpaka leo huko Lehi"
# katika siku za Wafilisti
"Katika wakati wa Wafilisti kuwatawala Waisraeli"
# miaka ishirini
"miaka 20"