sw_tn/jdg/15/09.md

16 lines
266 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wafilisti wakaja ... huko Yuda
Wafilisti walienda Yuda ambapo ni juu toka kwenye nchi yao.
# kujiandaa na vita
"kujipanga wenyewe kwa ajili ya vita"
# Lehi
Hili ni jina la mji uliopo Yuda.
# tumtendee kama alivyotutendea
"tumuuwe kama alivyowaua watu wetu"