forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
641 B
Markdown
32 lines
641 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Yotamu anafanya maombi juu ya hali iliyopo mda ule na sehemu ile.
|
||
|
|
||
|
# na kufikiri kwamba baba yangu alipigana kwa ajili yenu ... kutoka kwenye mkono wa Midiani
|
||
|
|
||
|
Yotamu anaelezea ni kwa jinsi gani haamini vitendo vyao vibaya walivyovifanya watu wa Shekemu kwa Gideoni na familia yake japokuwa Gideoni alipigana ili kuwaokoa watu wa Shekemu.
|
||
|
|
||
|
# kutoka kwenye mkono wa Midiani
|
||
|
|
||
|
"mkono" unawakilisha nguvu na utawala.
|
||
|
|
||
|
# umeamka juu ya
|
||
|
|
||
|
"umeipinga" au "umeasi juu ya"
|
||
|
|
||
|
# Nyumba ya baba yangu
|
||
|
|
||
|
"nyumba" inawakilisha familia.
|
||
|
|
||
|
# Sabini
|
||
|
|
||
|
"70"
|
||
|
|
||
|
# Jiwe moja
|
||
|
|
||
|
"jiwe 1"
|
||
|
|
||
|
# Mtumishi wake wa kike
|
||
|
|
||
|
"wake" inasimama badala ya Gideoni.
|