sw_tn/jdg/09/15.md

40 lines
957 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Yotamu anaendelea kuelezea fumbo ambapo miti inawakilisha makundi mbalimbali ya watu.
# Miti ya miiba
Miiba inafananishwa na mtu anayeweza kusikia na kuongea.
# kunipaka mafuta niwe mfalme juu yako
Kupaka mafuta ni ishara ya kumteua mtu kuwa mfalme.
# upate usalama
"uwe salama"
# Acha moto utoke kwenye miti ya miiba
Hapa miti ya miiba inajielezea yenyewe. "acha moto utoke kwangu"
# Acha moto utoke kwenye miti ya miiba na uiteketeze mierezi ya Lebanoni.
Hii inamaanisha acha miiba iwake moto ili iiteketeze mierezi.
# Sasa
Hii inaleta umakini na kuonesha umuhimu wa jambo linalofuata.
# ikiwa umefanya vizuri juu ya Yerubaali na nyumba yake, na ikiwa umemuadhibu kama anavyostahili
Yotamu anaonesha kuwa kwa namna moja walichokifanya ni kitu kizuri japokuwa Yotamu haamini moja kwa moja kuwa wamefanya jambo zuri.
# Yerubaali
Hili ni jina lingine la Gideoni.
# Nyumba yake
"nyumba" inawakilisha familia ya Gideoni.