sw_tn/jdg/08/22.md

12 lines
262 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wewe, mtoto wako, na mjukuu wako
Hii inaelezea kuwa walitaka uzao wa Gideoni kutawala juu yao baada ya yeye kufa.
# umetuokoa mikononi mwa Midiani
"mkono" inawakilisha nguvu za Wamidiani juu ya Israeli.
# Wamidiani
"Midiani" inawakilisha watu wa Midiani.