sw_tn/jdg/08/10.md

28 lines
450 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sasa
Hapa msimuliaji anaanza kusimulia sehemu nyingine mpya ya simulizi.
# Zeba na Salmuna
Haya ni majina ya wanaume.
# Karkori
Hili ni jina la mji.
# Watu elfu kumi na tano
"watu 15,000"
# watu waliofundishwa kupigana na upanga
Hii ni njia nyingine ya kuwaelezea askari
# Na upanga
"upanga" inawakilisha upanga au silaha nyingine ambazo askari huzitumia vitani.
# walianguka
Hii ni lugha ya upole inayomaanisha watu waliokufa vitani.