sw_tn/jdg/06/28.md

8 lines
371 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alipoamka
"alipoinuka toka kitandani"
# madhabahu ya Baali imebomolewa, na Ashera iliyokuwa karibu nayo imekatwa, na ng'ombe wa pili ametolewa sadaka kwenye madhabahu iliyojengwa
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa "waligundua kuwa kuna mtu ameibomoa madhabahu ya Baali, akaikatakata Ashera iliyokuwa pembeni na akajenga madhabahu na kutoa kafara ng'ombe wa pili juu yake"