sw_tn/jdg/05/19.md

32 lines
757 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wafalme walikuja, wakapigana ... wafalme wa Kanaani wakapigana
Mfalme wa kundi la watu hutumika kuelezea jeshi ambalo analiamuru.
# Wakapigana ... wakapiagana
"Wakapigana nasi"
# Taanaki ... Megido
Haya ni majina ya mahali
# hakuna fedha kama nyara
"fedha" inawakilisha mali kwa ujumla.
# nyara
Kitu kinachochukuliwa kwa nguvu, hasa katika vita au na wezi.
# Nyota zilipigana kutoka mbinguni, kutoka katika njia zao za mbinguni zilipigana na Sisera
Bwana anawasaidia Waisraeli kumshinda Sisera na jeshi lake kama vile nyota zenyewe zinavyopigana na Sisera na jeshi lake. Mara nyingi Bwana hutumia vitu vya kawaida kama mvua ya radi kuipiga Sisera.
# Dhidi ya Sisera
"Sisera" inawakilisha jeshi lake lote.
# Sisera
Hili ni jina la mwanaume.