sw_tn/jdg/04/08.md

24 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Baraka anafanya majadiliano na Debora.
# Baraka
Hili ni jina la mwanaume.
# njia unayoienda haitakupa heshima
Maamuzi aliyoyafanya Baraka yanafananishwa kama njia aliyoichagua Baraka kusafiria. Pia "heshima" inazungumzwa kama mwisho wa safari.
# kwa kuwa Bwana atamuuza Sisera mkononi mwa mwanamke
Hapa "mkono" imetumika kama nguvu za kumuua. "Kwa maana Bwana atasababisha mwanamke amshinde Sisera"
# Sisera
Hili ni jina la mwanaume.
# Debora
Hili ni jina la mwanaume.