sw_tn/jdg/01/11.md

24 lines
553 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Tazama: tafsiri ya majina
# jina la Debiri hapo awali ilikuwa Kiriath-seferi
Mwandishi aliandika hivi kwa kuwa yamkini wasomaji wake walifahamu juu ya mji wa Debiri. lakini wakati ambao Israeli walivamia palikuwa pakiitwa Kiriath-seferi.
# Awali
"siku za nyuma" au "wakati wa nyuma"
# Yeyote atakayeivamia Kiriath-seferi na kuichukua
"Kiriath-seferi" ina maanisha watu. Yeyote atakayeivamia na kuiteka Kiriath-seferi na kuchukua mji wao"
# Aksa
Jina la binti wa Kalebu
# Otinieli, mwana wa Kenazi
Haya ni majina ya wanaume