sw_tn/isa/66/14.md

16 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anazungumza kwa watu waaminifu wa Mungu.
# mifupa yako itachipuka
"Mifupa" ina maana ya mwili mzima kama sehemu yake.
# itachipuka kama nyasi laini
"Nyasi laini" huota haraka na kwa imara na hulinganisha na afya na nguvu ya watu waamniifu wa Mungu.
# Mkono wa Yahwe utajulikana kwa watumishi wake
Hapa "mkono" una maana ya nguvu yake. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe atadhihrisha nguvu yake kwa watumishi wake"