sw_tn/isa/65/01.md

8 lines
259 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nilikuwa tayari
Hapa "nilikuwa" ina maana ya Yahwe.
# Nimetandaza mikono yangu nje siku nzima kwa watu wakaidi
"Kutandaza nje mikono yangu" ni ishara ya mtu kuonyesha kusihi sana au ombi la nguvu. "Nimeendelea kuwaomba watu wakaidi kupokea msaada wangu"