sw_tn/isa/63/14.md

12 lines
423 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Watu wa Israeli wnaendelea kuzungumza.
# Kama mifugo inavyokwenda chini katika bonde ... pumziko
Picha hii inaonyesha mifugo kushuka katika bonde ambapo kuna nyasi za kijani na maji na inasisitiza ya kwamba Mungu aliwaongoza watu wa Israelii na kuwatunza.
# kujifanyia mwenyewe jina la sifa
Hapa "jina la sifa" ina maana ya heshima na sifa ya mtu. "hakikisha una sifa ya kuheshimiwa kwa ajili yako"