sw_tn/isa/63/12.md

12 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Watu wa Israeli wanaendelea kuzungumza.
# ambaye altengeneza nguvu yake tukufu iende pamoja na mkono wa kuume wa Musa
Hapa "mkono wa kuume" inawakilisha nguvu ya Yahwe kupitia Musa. Hii ina maana ilikuwa nguvu ya Mungu ambayo ilimwezesha Musa kugawanya maji katika Bahari ya Matete.
# Kama farasi akimbavyoo katika nchi tambarare, hawakujikwaa
Hii ina maana ya kwamba watu wa Israeli walikuwa na miguu ya hakika kama ya farasi katika nchi ya wazi katika safari zao kuelekea Israeli kutoka Misri.