sw_tn/isa/62/05.md

8 lines
411 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama vile mwanamume anavyomuoa mwanamke, vivyo hivyo wana wako watakuoa
Hapa "wana" ina maana ya watu wa Israeli na "wako" ina maana ya Yuda, nchi ya Israeli. Hii ina maana ya kwamba watu watamiliki nchi kama vile mwanamume anavyomiliki mke wake kijana.
# kama vile bwana arusi anavyofurahia bibi arusi wake, Mungu wako atafurahi juu yako
Hii inasisitiza furaha ya Mungu juu ya uhusiano wake na watu wake.