sw_tn/isa/62/01.md

12 lines
485 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitakaa kimya
Kauli hizi mbili zina maana moja. Hapa "Sayuni" na "Yerusalemu" zote zinawakilisha watu wanaoishi katika Yerusalemu. "Kwa ajili ya watu wa Yerusalemu sitanyamaza"
# sitakaa kimya
Inawezekana ya kwamba "sitakaa" ina maana ya Isaya
# mpaka utakatifu wake utakapojitokeza
Vishazi hivi viwili vinaaminisha watu wa Mungu hatimaye kurudi na kuokoa watu wa Israeli na kwamba itakuwa dhahiri kama mwanga ulivyo.