sw_tn/isa/61/06.md

16 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Mtumishi wa Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli na kila mstari kuwa sambamba.
# Utaitwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu watakuita"
# utapata mara mbili
Huenda hii ina maana ya fungu mara mbili la nchi.
# watafurahi juu ya mgawo wao ... wata ... nchi yao ... itakuwa yao
Hii bado ina maana ya watu wa Israeli. Hii inaweza kuwekwa katika hali ya mtu wa pili. "utafurahia juu ya gawio lako ... uta ... nchi yako ... itakuwa yako"