forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
764 B
Markdown
20 lines
764 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# badala ya mbao, shaba, na badala ya mawe, chuma
|
||
|
|
||
|
Yahwe atatoa vifaa vya thamani zaidi vya ujenzi kwao sasa. "badala ya mbao, nitaleta shaba, na badala ya mawe, nitaleta chuma"
|
||
|
|
||
|
# Nitateua amani kama mkuu wako, na haki watawala wako
|
||
|
|
||
|
Yahwe anafafanua "amani" na "haki" kama watawala wa kibinadamu. Hii ina maana kutakuwa na amani kamili na haki katika nchi ya Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Vurugu haitasikika tena katika nchi yako
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Hakutakuwa tena na taarifa za vurugu katika nchi yako"
|
||
|
|
||
|
# lakini utaita kuta zako Wokovu, na malango yako Sifa
|
||
|
|
||
|
Viumbo vya kihalisia vina majina ya sifa za kiroho. Mji wa Yerusalemu utakuwa eneo salama, na watu pale watamsifu Yahwe.
|