sw_tn/isa/60/10.md

12 lines
444 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# hayatafungwa mchana na usiku
Hapa "mchana" na "usiku" pamoja ina maana ya "wakati wote". Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "hakuna atakayeweza kuvifunga"
# ili kwamba utajiri wa mataifa uweze kuletwa, na wafalme wake wakiwa wameongozwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ili kwamba watu wa mataifa waweze kuleta utajiri wao, pamoja na wafalme wao"