sw_tn/isa/59/19.md

24 lines
896 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "'ambayo pumzi ya Yahwe huongoza"
# wataogopa jina la Yahwe
Hapa "jina" lina maana ya sifa ya Yahwe na tabia. "muogope Yahwe"
# kutoka magharibi ... kutoka kwa mawio ya jua
Isaya anaunganisha maneno haya mawili kumaanisha watu katika maeneo yote duniani.
# kwa maana atakuja kama kijito kinachokuja kwa kasi
Mabonde membamba ya Yuda yalikuwa yamekauka muda mwingi katika mwaka hadi pale mvua nzito ya ghafla ilipogeuza kuwa maji yanayokwenda kwa kasi. Hicho kilipotokea kulikuwa na kelele nyingi na upepo.
# kinachoendeshwa kwa pumzi ya Yahwe
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ambayo pumzi ya Yahwe inaendesha"
# tamko la Yahwe
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "tamko" liwe kitenzi "alitamka" au "alisema kwa dhati". "Hivi ndivyo Yahwe alivyotamka" au "Hiki ndicho Yahwe alichosema kwa dhati"