forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
588 B
Markdown
16 lines
588 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Isaya anaendelea kuzungumza.
|
||
|
|
||
|
# Aliona ya kwamba hakuna mtu, na akashangaa ya kwamba hapakuwa na mtu wa kuingilia kati.
|
||
|
|
||
|
"Yahwe alishtushwa ya kwamba hakuna mtu alikua kuwasaidia wale waliokuwa wakiteseka" au "Yahwe alishangazwa ya kwamba hakuna mtu aliyekuja kuwasaidia wale waliokuwa wakiteseka"
|
||
|
|
||
|
# Kwa hiyo mkono wake mwenyewe ulileta wokovu kwa ajili yake
|
||
|
|
||
|
"'mkono" unawakilisha uwezo na nguvu. "Yahwe alitumia nguvu yake mwenyewe kuwaokoa watu"
|
||
|
|
||
|
# na haki yake ikamsaidia
|
||
|
|
||
|
"Haki" ni sifa ambayo hujifanya kama mtu. "na alifanya sahihi kama anavyofanya siku zote"
|