sw_tn/isa/59/14.md

12 lines
268 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza.
# Haki imerudishwa nyuma
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu wanasukuma haki nyuma"
# Haki ... haki ... kweli ... uadilifu ... Uaminifu
Haya ni mawazo ambayo Isaya anafafanua kama kujifanya kama watu