sw_tn/isa/57/07.md

16 lines
432 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wasio waaminifu wa Israeli.
# Uliandaa kitanda chako
Hii ina maana ya kulala na kahaba kama sehemu ya kuabudu miungu ya uongo.
# juu ya mlima wa juu
Watu mara kwa mara walienda juu ya vilima na milima kuabudu miungu ya uongo. Walidhani hizo zilikuwa sehemu bora za kuabudu. Hii inaweza kumaanisha Yerusalemu, pia.
# Ulifanya agano pamoja nao
"Ulifanya mkataba na mimi"