sw_tn/isa/55/03.md

12 lines
457 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Geuza masikio yako
Kusikiliza au kuzingatia kwa makini juu ya mtu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kugeuza masikio ya mtu kwa mtu.
# upendo mwaminifu ulioahidiwa kwa Daudi
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "upendo mwaminifu ambayo nimemuahidi Daudi"
# Nimemuweka
Maana zaweza kuwa 1) hii ina maana ya kile Yahwe alifanya kwa Mfalme Daudi kipindi cha nyuma au 2) ina maana ya kile ambacho Mungu atafanya kupitia mmoja wa vizazi vya Daudi.