sw_tn/isa/53/07.md

20 lines
649 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kumfafanua mtumishi wa Yahwe.
# Alikandamizwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Walimtendea kwa ukatili"
# hakufungua kinywa chake
"Kinywa" inawakilisha kile ambacho mtu husema. Kufungua kinywa cha mtu ina maana ya kuongea. "hakupinga"
# kama mbuzi ambaye huongozwa machinjioni, na kama kondoo aliye mbele ya wakata manyoya alivyo mtulivu
Isaya analinganisha mtumishi kwa mbuzi na kondoo kusisitiza ya kwamba atabaki kimya wakati watu wakimdhuru na kumuaibisha.
# kama mbuzii ambaye huongozwa machinjioni
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kama mbuz alivyo kimya mtu anapomchinja"