sw_tn/isa/52/13.md

12 lines
634 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# atakuwa juu na kuinuliwa, na atainuliwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. Misemo hii miwili "juu na kiinuliwa juu" na "atainuliwa" ina maana moja na inasisitiza ya kwamba Yahwe ataheshimu mtumishi wake. "Nitampa mtumishi wangu heshima kubwa"
# walivyokuogopa wewe
Hapa "wewe" ina maana ya mtumishi wa Yahwe. Hata hivyo, watafsiri wanaweza kubadili "wewe" kuwa "yeye".
# muonekano wake uliharibiwa sana kuliko ule wa mtu yeyote
Inachukuliwa ya kwamba mtumishi anaharibiwa kwa sababu adui walimpiga sana. Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "adui zake hupiga mwili wake vibaya sana hadi hakuonekana kama binadamu tena"