sw_tn/isa/51/07.md

24 lines
936 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu
Kuwa na sheria ya Mungu moyoni inawakilisha kujua sheria ya Mungu na kutaka kuitii. "ambaye anajua na kuinua sheria yangu"
# wala msivunjwe mioyo kwa matusi yao
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "na usipoteze ujasiri wako watakapokuumiza"
# Kwa maana nondo watawala kama vazi, na funza watawala kama sufu
Mungu anazungumzia watu kutukana wale ambao wana haki kana kwamba walikuwa mavazi ya sufu, na kuangamizwa kwao kana kwamba wadudu waliwala.
# haki yangu itakuwa milele
"haki" ya Mungu hapa inawakilisha yeye kutawala kwa haki. "utawala wangu wa haki hautakuwa na mwisho" au "nitatawala kwa haki milele"
# na wokovu wangu kwa vizazi vyote
"wokovu" wa Mungu hapa unawakilisha matokeo ya wokovu wake, ambayo ni uhuru. Kuwa "kwa vizazi vyote" inawakilisha kudumu milele. "Nitakuokoa, na utakuwa huru milele"