sw_tn/isa/50/07.md

16 lines
676 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Mtumishi wa Yahwe anaendelea kuzungumza.
# kwa hiyo sijaaibika
Ingawa mtumishi ametendewa vibaya, hataaibika kwa sababu amemtii Yahwe. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kwa hiyo sitaaibika"
# kwa hiyo nimefanya uso wangu kama jiwe gumu
Hapa "uso wangu" una maana ya mtumishi. Mtumishi kuwa na nia imara ya kumtii Yahwe inazungumziwa kana kwamba uso wake ulikuwa mgumu kama jiwe. "kwa hiyo nina nia dhahiri"
# kwa maana najua sitapatwa na aibu
Mtumishi huyu anatazama muda ujao kwa uhakika, salama katika wito wa Yahwe. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kwa maana najua ya kwamba maadui wangu hawataweza kunifanya nihisi aibu"