sw_tn/isa/49/14.md

8 lines
475 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lakini Sayunii akasema
Neno "Sayuni" ni jina lingine kwa ajili ya Yerusalemu. Isaya anazungumzia mji kana kwamba ulikuwa mwanamke ambaye hulalamika ya kwamba Yahwe amemsahau.
# Je! mwanamke anaweza kumsahau mtoto wake, akinyonya katika titi lake, ili asiwe na huruma kwa mwana aliyemzaa?
Yahwe anatuma swali kuwasaidia watu wake kuelewa ya kwamba hatasahau juu yao au kuacha kuwatunza. "Mwanamke hawezi kusahau kunyonyesha mtoto wake au kuacha kumtunza mwana aliyemzaa"