sw_tn/isa/49/01.md

28 lines
1003 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nisikilize mimi
Hapa "mimi" ina maana ya mtumishi wa Yahwe.
# nyie nchi za pwani
Hii ina maana ya watu ambao huishi katika nchi za pwani. "wewe ambaye mnaishi katika nchi za pwani"
# Amefanya mdomo wangu kama upanga mkali
Hapa neno "mdomo" unawakilisha maneno ambayo anazungumza. Maneno yake yanalinganishwa na upanga mkali kusisitiza ya kwamba yatakuwa yanafaa. "Amefanya maneno yangu kuwa na matokeo yanyofaa kuwa makali kama upanga"
# amenificha katika kivuli cha mkono wake
Yahwe kulinda mtumishi wake na kuweka kusudi lake kuwa siri inazungumziwa kana kwamba mkono wa Yahwe uliiweka kivuli juu yake.
# amenifanya kuwa mshale uliong'arishwa; katika podo lake amenificha
Mtumishi wa Yahwe kuweza kutekeleza makusudi ya Yahwe kikamilifu inazungumziwa kana kwmba mtumishi alikuwa mshale mkali, na mpya.
# katika podo lake amenificha
Yahwe kulinda mtumishi wake na kuweka kusudi lake kuwa siri inazungumziwa kana kwamba Yahwe alimficha katika podo.
# podo
mfuko unaotumika kubeba mishale