sw_tn/isa/48/19.md

24 lines
879 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kufafanua hali ya kubuni kwa watu wa Israeli.
# Vizazi vyako viingekuwa vingi kama mchanga, na watoto kutoka tumboni mwako wengi kama punje za mchanga
Zote hizi mbili zina maana ya watu wangekuwa na uzao mwingi zaidi kuliko ya uwezo wao kuhesabu.
# watoto kutoka tumboni mwako
Yahwe anazungumzia vizazi vya watu wa Israeli kana kwamba walikuwa watoto ambao taifa liliwazaa.
# jina lao halingekatwa mbali wala kufutwa
Watu wa Israeli kuangamizwa inazungumziwa kana kwamba jina lao limekatwa, kama vile mtu anavyokata kipande cha nguo au kukata tawi kutoka katika mti, au kufutwa. Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda.
# jina lao
Hapa neno "jina" lina maana ya vizazi ambavyo vingeendelea kubeba jina la Israeli.
# halingekatwa mbali wala kufutwa
Misemo hii miwili katikamuktadha hii ina maana ya kuangamiza watu. "kuangamizwa"