sw_tn/isa/46/10.md

16 lines
696 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wake.
# Ninatangaza mwisho kutoka mwanzo, na kabla ya muda kile ambacho hakijatokea
Hii kwa msingi inarudia wazo hilo hilo kwa msisitizo. Kitenzi kutoka katika msemo wa kwanza unaweza kutumika kwa msemo wa pili. "Ninatangaza mwisho kutoka mwanzo, na ninatangaza kabla ya muda kile ambacho bado hakijatokea"
# Ninamwita ndege wa mawindo kutoka mashariki
Yahwe anazungumzia Kipro kana kwamba ilikuwa "ndege wa mawindo". Kama ndege anavyokamata kwa haraka windo lake, kwa hiyo Kipro itatimiza kusudi la yahwe kushinda mataifa.
# Nimesema; Nitaitimiza pia; Nimekusudia, nitaifanya pia.
Hii inarudia wazo hilo hilo kwa ajili ya msisitizo.