forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
422 B
Markdown
12 lines
422 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Utanilinganisha na nani? Ni nani unadhani nafanana naye, ili kwamba tuweze kulinganishwa?
|
||
|
|
||
|
Yahwe anatumia swali kusisitiza ya kwamba hakuna mtu kama yeye. "hakuna mtu ambaye mnaweza kunilinganisha naye. Sifanani na mtu, ili tuweze kulinganishwa"
|
||
|
|
||
|
# ili kwamba tuweze kulinganishwa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili uweze kutulinganisha"
|