sw_tn/isa/45/11.md

16 lines
522 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtakatifu wa Israeli
Mtakatifu wa Israeli
# Kwa nini unauliza maswali kuhusu kile nitakachofanya kwa ajili ya watoto wangu? Je! utaniambia nini cha kufanya kuhusu kazi ya mikono yangu?
Yahwe anatumia maswali kukaripia wale ambao wanabishana naye kuhusu kile anachofanya. "Usiniulize mimi kuhusu kile ninachofanya kwa ajili ya watoto wangu. Usiniambie ... mikono yangu".
# watoto wangu
Hii ina maana ya watu wa Israeli.
# kazi ya mikono yangu
Hapa neno "mikono" linawakilisha Yahwe. "vitu ambavyo nimevitengeneza"