sw_tn/isa/45/07.md

16 lines
566 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Ninaunda nuru na kuumba giza; Ninaleta amani na kuumba maafa
Misemo hii miwili inaunda neno kwa ajili ya maneno mengine ambayo inasisitiza ya kwamba Yahwe ni muumba wa enzi wa kila kitu.
# Enyi mbingu, nyesha chini kutoka juu ... haki huruka juu pamoja nayo
Yahwe anazungumzia haki yake kana kwamba ilikuwa mvua ambayo huanguka juu ya ardhi, na ya haki yake na wokovu kama mimea ambayo huota juu ya dunia.
# Enyi mbingu
Yahwe kwa muda anageuza akili yake kutoka kwa watu wake na kuanza kuzungumza kwa mbingu.