sw_tn/isa/44/11.md

20 lines
516 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza
# washiriki wake wote
Maana zaweza kuwa 1) hii ina maana kuwa washiriki wa fundistadii ambaye hutengeneza sanamu. "washiriki wote wa fundistadi" au 2) hii ina maana ya wale washiriki wenyewe pamoja na sanamu kwa kuiabudu. "wale wote ambao huabudu sanamu"
# wataaibishwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ataaibika"
# Acha wachukue msimamo wo pamoja
"Waache wote waje pamoja mbele zangu"
# wataogopa
"watogopa". "kuogopa" ni kuinama mbele kwa hofu.