sw_tn/isa/44/08.md

20 lines
829 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Usiwe na hofu au kuogopa
Yahwe anatumia misemo miwili ya kufanana ili kuimarisha faraja yake. "Usiogope"
# Je! sijatamka kwako zamani, na kuitangaza?
Yahwe anatumia swali hili kusisitiza ya kwamba yeye ndiye ambaye alitabiri matukio ambayo yametokea sasa. Hii inaweza kutafsiriwa kama kauli. Neno "kutangaza" lina maana ya kitu kimoja kama "kutangaza". "Nimetangaza mambo haya kwako zamani"
# Je! kuna Mungu yeyote kando ya mimi?
Yahwe anatumia swali tena kusisitiza ya kwamba hakuna Mungu mwingine. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hakuna Mungu kando ya mimi"
# Hakuna Mwamba mwingine
Yahwe anajizungumzia kana kwamba alikuwa jiwe kubwa ambayo chini yake wtu wanaweza kupata hifadhi. Hii ina maana ya nguvu kulinda watu wake.