sw_tn/isa/43/27.md

16 lines
644 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Baba yako wa kwanza alitenda dhambi
Hii ina maana ya mwanzilish wa Israeli na inaweza kuwakilisha aidha Abrahamu au Yakobo.
# Nitamweka Yakobo katika uharibifu kamili
Hapa "nitamweka" inawakilisha kumweka mtu chini ya nguvu ya mwingine. Nomino ya "uharibifu" inaweza kutafsiriwa kwa msemo wa kitenzi. "Nitasababisha adui kumuangamzia Yakobo kabisa"
# Israeli katiika aibu ya shutumu
Kitenzi kinaweza kutumika kutoka msemo wa nyuma, ambayo msemo huu ni sambamba. Nomino "aibu" inaweza kutafsiriwa na msemo wa kitenzi. "Nitaruhusu adui kutukana na kudhalilisha Israeli"