sw_tn/isa/43/25.md

28 lines
957 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Mimi, ndio, mimi
Neno "Mimi" linarudiwa kwa ajili ya msisitizo. "Mimi pekee"
# anayefuta makosa yako
Kusamehe dhambi inazungumziwa kama kuwa aidha 1) kuziondoa au kuzipangusa mbali au 2) kufuta kumbukumbu iliyoandkwa ya dhambi. "ambaye husamehe makosa yako kama mtu anayepangusa kitu mbali" au "ambaye husamehe makosa yako kama mtu ambaye hufuta kumbukumbu ya dhambi"
# kwa ajili yako
"kwa ajili ya heshima yangu" au "kwa ajili ya sifa yangu"
# sitaweka akilini
"kumbuka"
# wasilisha kesi yako, ili uweze kuthibitishwa hauna hatia
Yahwe anawapa changamoto watu kutoa ushahidi ya kwamba hawana hatia kwa mashtaka ambayo ameleta dhidi yao, ingawa anajua hawawezi kufanya hivyo. "wasilish kesi yako, lakini huwezi kuthibitisha kuwa hauna hatia"
# ili uweze kuthibitishwa hauna hatia
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ili uweze kuthibitisha mwenyewe kuwa huna hatia"