sw_tn/isa/43/16.md

12 lines
701 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ambaye alifungua njia ... kama utambi unaowaka
Katika mistari hii, Isaya anazungumzia matukio yanayofuata safari kutoka Misri, Yahwe alipogawanya bahari kuruhusu Waisraeli kutembea katikati juu ya nchi kavu lakini kisha kuzamisiha jeshi la Wamisri. Maana kamili ya kauli inaweza kuwekwa wazi.
# Walianguka chini pamoja; hawatainuka tena
Kufa inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kuanguka chini ardhini. "Wote walikufa pamoja; hawataishi tena"
# wamezimwa, wamepozwa kama utambi unaowaka
Watu kufa inazungumziwa kana kwamba walikuwa wakichoma mshumaa wa utambi ambayo mtu ameuzima. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "maisha yao yamekwisha, kama mtu anavyozima mwale wa mshumaa unaowaka"