forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
626 B
Markdown
16 lines
626 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kuzungumza wtu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Unaona mambo mengi, lakini hauelewi
|
||
|
|
||
|
"Ingawa unaona mambo mengi, hauelewi kile wanachomaanisha"
|
||
|
|
||
|
# masikio yapo wazi, lakini hakuna anayesikia
|
||
|
|
||
|
Uwezo wa kusikia inazungumziwa kana kwamba masikio yalikuwa wazi. Hapa neno "kusikia" ina maana ya kuelewa kile mtu anachosikia. "watu husikia, lakini hakuna mtu anayeelewa kile wanachosikia".
|
||
|
|
||
|
# Ilimpendeza Yahwe kusifu haki yake na kufanya sheria yake kutukuka
|
||
|
|
||
|
"Yahwe alifurahishwa kuinua haki yake kwa kufanya sheria zake kutukuka". Sehemu ya pili ya msemo huu unafafanu jinsi Yahwe ametimiza sehemu ya kwanza.
|