sw_tn/isa/42/07.md

12 lines
657 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kufafanua kile mtumishi wake atafanya.
# kufungua macho ya vipofu
Kusababisha watu vipofu kuona inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kufungua macho yao. Pia, Yahwe anazungumzia mtumishi wake kuwaokoa wale ambao wamefungwa kimakosa kana kwamba mtumishi wke alikuwa akirejesha kuona kwa watu vipofu. "kuwezesha vipofu kuona"
# kuwaacha huru wafungwa kutoka gerezani, na kutoka nyumba ya ulinzi mkali kwa wale wanaokaa gizani
Misemo hii miwili ina maana moja. Kitenzi kinaweza kutumka katika msemo wa pili. "kuwaacha huru wafungwa kutoka gerezani, na kuwaacha huru wale wanaokaa gizani kutoka nyumba ambayo wameshikiliwa"