sw_tn/isa/42/05.md

20 lines
897 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yule aliyeziumba mbingu na kzitandaza, yule ambaye alitengeneza dunia
Nabii anazungumzia Yahwe kuziumba mbingu na dunia kana kwamba mbingu na dunia ilikuwa akitambaa ambacho Yahwe alizitandaza.
# hutoa pumzi kwa watu juu yake na uzima kwa wale wanaoishi ndani yake
Misemo hii ina maana moja na inasisitiza ya kwamba Yahwe hutoa uhai kwa kila mtu. Neno "pumzi" ni neno kwa ajili ya uhai. "hutoa uhai kwa watu ambao wanaishi juu ya dunia"
# nimekuita
Hapa "nimekuita" ni umoja na ina maana ya mtumishi wa Yahwe.
# Nita ... kukutenda kama agano kwa ajili ya watu
Hapa neno "agano" ni neno kwa ajili ya yule anayeimarisha au patanisha agano. "Nita ... kukufanya kuwa mpatanishi wa agano kwa watu"
# nuru kwa Mataifa
Yahwe anazungumzia kumfanya mtumishi wake yule ambaye atakomboa mataifa kutoka kifungoni kana kwamba alikuwa akimfanya nuru ambayo hung'aa katika maeneo ya giza kwa Mataifa.