forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
567 B
Markdown
12 lines
567 B
Markdown
|
# Wameona kila kitu ndani ya nyumba yangu. Hakuna kitu miongoniu mwa vitu vyangu vya thamani ambacho sijawaonyesha
|
||
|
|
||
|
Sentensi hizi mbili zina maana moja na hutumika pamoja kusisitiza jinsi gani Hezekia aliwaonyesha wanamume.
|
||
|
|
||
|
# kila kitu ndani ya nyumba yangu
|
||
|
|
||
|
Huku ni kukuza kidogo maana Hezekia aliwaonyesha vitu vingi, lakini sio kila kitu. "karibu ya kila kitu katika nyumba yangu"
|
||
|
|
||
|
# Hakuna kitu miongoniu mwa vitu vyangu vya thamani ambacho sijawaonyesha
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya chanya. "Niliwaonyesha vitu vyangu vyote vya thamani katika kasri yangu"
|