sw_tn/isa/37/30.md

24 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Hii inaendeleza ujumbe wa Yahwe kwa Hezekia.
# ishara kwako
"ishara kwako, Hezekia". Hapa "kwako" ni umoja na ina maana ya Hezekia.
# utakula ... unapaswa kupanda
Hapa "utakula" ni wingi na ina maana ya watu wa Yuda.
# mwaka wa pili
"mwaka wa pili"
# katika mwaka wa pili kile kitakachoota
maneno ambayo hayapo yanaweza kuongezwa. "katika mwaka wa pili utakula kile kinachoota"
# kile kitakachoota kutokana na hicho
"kile kitakachoota pori kutokana na hicho" au "kile kitakachoota pori"