sw_tn/isa/37/14.md

28 lines
930 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika mkono wa wajumbe
Hapa wajumbe wanamaanishwa kwa "mkono" wao kusisitiza ya kwamba walimpatia mfalme wao binafsi. "ambayo wajumbe walimpatia"
# akaelekea juu katika nyumba ya Yahwe
Nyumba ya Yahwe ilikuwa katika sehemu ya juu Yerusalemu, kwa hiyo inazungumziwa kama "juu".
# kuikunjua mbele yake
"kuikunjua barua mbele ya Yahwe". Kuwa katika nyumba ya Yahwe inachukuliwa sawa na kuwa katika uwepo wa Yahwe. Barua ilikuwa hati ya kukunja ambayo inaweza kufunulia na kutandikwa.
# wewe unayekaa juu ya makerubi
Hapa Hezekiia anazungumza kuhusu Yhwe kuwepo ndani ya hekalu. Maana ya hii inaweza kuwekwa wazi. "wewe ambaye upo hapa pamoja na makerubi"
# wewe ni Mungu pekee
"wewe tu ni Mungu"
# juu ya falme zote
Lahaja hii ina maana ya kuwa na mamlaka na kutawala juu ya falme zote. "kuwa na mamlaka juu ya falme zote"
# Ulitengeneza mbingu na dunia
Hii ina maana ya kwamba aliumba kila kitu. "Uliumba kila kitu"