sw_tn/isa/36/16.md

24 lines
785 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Kamanda mkuu anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda.
# Fanya amani na mimi
Lahaja hii ina maana ya kukubali rasmi kutenda kwa amani kwa mtu mwingine. "Tukubaliane kuwa na amani"
# jitokeze uje kwangu
Lahaja hii ina maana ya kujisalimisha. "jisalimishe kwangu"
# hadi ntakapokuja na kuchukua
Hapa mfalme wa Ashuru anamaanihsa kwa jeshi lake kama yeye mwenyewe. "hadi jeshi langu litakapokuja na kuchukua"
# nchi ya nafaka na divai mpya, nchi ya mkate na mashamba ya mizabibu
Misemo hii miwili ina maana moja na inatumika pamoja kwa ajili ya msisitizo jinsi nchi itakavyokuwa na mafanikio.
# nchi ya nafaka ... nchi ya mkate
Hii ina maana ya kwamba nchi imejaa rasilimali, kama vile nafaka. "nchi ambapo kuna nafaka nyingi ... nchi ambapo kuna mkate mwingi"