sw_tn/isa/32/04.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kufafanua watu baada ya Mungu kuwarejesha watawala wenye haki wa Yuda.
# Wenye pupa ... mwenye kigugumizi
Hii ina maana ya watu ambao hufanya kwa pupa na watu wenye kigugumizi. "Mtu mwenye pupa ... mtu mwenye kigugumizi"
# Mpumbavu hataitwa tena mwenye heshima
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Hakuna mtu atakayetoa heshima kwa mpumbavu"
# Kwa maana mpumbavu huongea upuuzi
"Mpumbavu" ina maana ya watu wapumbavu. Pia, "upuuzi" na "uovu" inaweza kuelezwa kama vivumishi. "Kwa maana mtu mpumbavu anasema vitu vya kipuuzi na moyo wake unapanga mambo maovu"
# moyo wake unapanga uovu
Hapa mtu mpumbavu anamaanishwa kwa moyo wake kusisitiza mawazo yake ya ndani. "anapanga mambo maovu moyoni mwake"
# wala mdanganyifu hataitwa mwenye msimamo
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mdanganyifu" ina maana mtu ambaye ni mdanganyifu. "wala hakuna mtu ataonyesha heshima kwa mtu anayedanganya"
# Huwafanya
Neno "huwafanya" lina maana ya mtu mpumbavu.
# wenye njaa kuwa tupu
"Wenye njaa" ina maana ya watu wenye njaa. Wana njaa kwa sababu wana matumbo tupu. "mtu mwenye njaa ana tumbo tupu"
# wenye kiu huwafanya kukosa kinywaji
"Wenye kiu" ina maana ya watu ambao wana kiu. "anasababisha wenye kiu kutokuwa na kitu cha kunywa"